HABARI MPYA

6/recent/ticker-posts

Darasani Leo: #Civics Form II. TOPIC: Parliament

UGA MEDIA kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar pamoja na Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kupitia uwezeshaji wa UNICEF Tanzania na GLOBAL PARTINERSHIP FOR EDUCATION imekuandalia mpango maalum wa MASOMO MTANDAO wenye lengo la kuwawezesha wanafunzi kuanzia MSINGI hadi KIDATO CHA NNE kupata muda zaidi wa kujisomea wakiwa majumbani. Kupitia mfumo huu mwanafunzi anapata fursa ya kushiriki masomo yote darasani moja kwa moja kupitia njia ya video (YOUTUBE) kwa muda anaouhitaji mwenyewe. Msaidie mwanao ajifunze zaidi kupitia Elimu MTANDAO kwa kutembelea 👉 https://youtube.com/channel/UC3YLnsNo... ili kufuatilia masomo yote kila Siku. ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------ PATA HABARI ZA UHAKIKA SAA 24 BLOG: https://ugamediaonline.blogspot.com/​... INSTAGRAM: https://www.instagram.com/uga_media/​... TWITTER: https://twitter.com/UgaMedia #UGATvFurahaYako​​​​

Post a Comment

0 Comments