UTHUBUTU naweza kusema hivyo ni moja kati njia
ya kutafuta mafanikio kwa aina yoyote ile iwe kisiasa kiuchumi, kilimo
kadhalika katika sawala uongozi kwa Nyanja tofaut.
Jamii nyingi hasa katika bara la afrika hawaamini
kuwa mwanamke ana uweza wa kuongoza na kumuchukulia ni mtu wa kukaa nyumbani tu
kulea familia kadharika majukumu ya nymbani. Na wengine huwachukulia kama
chombo cha starehe.
miaka (20) iliyopita katika swala la uongozi
walilichukulia kuwa ni la wanaume tuu dhana hii ikapelekea wanawake kuwa nyuma
kila kitu na kuamua kujishughulisha na shughuli za nyumbani pekee.
Lakini katika karine hii ya (21) wanawake wengi
wameutumia ule msemo wa KUTHUBUTU ambapo tuna shuhudia wengi wakishika nafasi
mbalimbali za uongozi nchini.
Wapo wabunge na wawakilishi wanawake walio
chaguliwa pia kuteuliwa kutokana na upambanaji na sasa ni wawakilishi wazuri ka
majimboni mwao.
Zawad Amour Nassor ni mwanamke wa mfano alie
thubutu kuingia katika siasa na kufanikiwa kuwa mwakilishi wa jimbo la konde
alipambana na kuchuana na wanaume katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka?
Akizungumuza na Uga media Mh Bi Zawadi alisema
kuwa kilicho mshawishi kuingia kwenye siasa ni kutokana na changamoo
zilizakuwepo kwenye jamii yake kwani vinongozi walio kuwepo hawakuzitatua licha
ya wananchi kukabiliwa na matatizo mengi katika jimbo lao.
Aliongeza kuwa katika utashi wake huo alopambana
na vikwazo vingi kwani alianza kuvunjwa moyo kwa kuambiwa mwanamke hawezi
kuongoza hasa kulingana na mjengeko wa jamii juu ya mwanamke kuwa ni mtu wa
pirika za nyumba tuu,lakini kwake hakukubaliana nalo.
Je alipitia changamoto gani wakati
akipambania ndoto yake?
Bi Zawadi aliongeza kuwa lilimpa changamoto kubwa
kutokana na jamii nyinigi zina aamini kuwa kuingia kwenye siasa laziama uwe na
pesa ila alizidi kusimama imara.
“Nilipokuwa nikiwaambia rafiki zangu kuwa nataka kugombea nafasi
ya uwakilishi wafanyakazi wezangu walinitia moyo lakini kuna baadha walinivunja
moyo wakisema kuwa mimi ni mwanamke siwezi kuwatetea”.
“licha ya kuwa nilivunjwa moyo wengi wao walikuwa
ni wanawake na katika kura za maoni wanaume walinipa lakini wanawake wezangu
hawakunipatia kura”alisema bi Zawadi.
Hata hivyo aliongeza kuwa kutokuwa na kipato hilo
pia lilikuwa changamoto kubwa na kupelekea kufanya kampeni kwa mazingira magumu
na kumlazimu kutembea nyumba kwa nyumba.? Haijajitosheleza..( hali ambayo
iliashiria hatari hasa ukilinganisha na kutokukubalika kwake ktk jamii)
“wanasiasa wengi wamewazoesha wananchi kuwapa pesa
wakati wa kampeni nami nakiti tatizo hilo lipo katika jamii kila nilipo kuwa
nikipita na kufanya kampeni wananiuliza pesa utatupa niliwambia bora mnipe
nafasi nichukuwe dhamana yenu ili badae mje mnidai kuliko kuwapa pesa nikipata
sitowajali”
“linitamani sauti yangu ipae hasa nikiwatetea
wanawake wenzangu na watoto wanao dhalilishwa hasa katika jimbo la konde lakini
nashukuru sana kwakuwa sauti yangu imeanza kupaa namshukuru mungu na
nitaiwakilisha vyema jamii yangu” alisema bi Zawadi.
Ni kwanamna gani aliweza kukabili
vikwazo hivyo?
Licha ya kupitia vikwanzo vingi bi Zawadi aliema kuwa alisimama
imara na kufanikiwa kuchukua kiti cha Uwakilishi wa jimbo la Konde na kuanza
kusema kuwa nyota yake imeanza kuonekana ya kuwa kiongozi imetimia.
“Kwakweli ndoto yangu imeanza kutimia kwani tayali nimekuwa
mwakilishi wa wawananchi na mafanikio yataanza kuja lakini kilicho anza kuja ni
kukaa na viongozi mbali mbali na kuanza kutatua changamoto jimboni kwangu”
alisema bi Zawadi.
Wanawake wanakipi cha kujifunza
kwake?
Aidha hakuacha kuwasa wanawake ambao wanahitaji
kuthubutu kufanya yaliomo moyoni hususan uongozi kwani msingi mkubwa ni
kutokata tamaa.
#UGATvFurahaYako
0 Comments