Wananchi mkoa wa Njombe wamepongeza juhudi za Jeshi la Polisi mkoa huo kuanzisha POLISI NJOMBE JOGGING CLUB ambayo inawaunganisha pamoja na kuwafanya kuwa karibu zaidi na askari.
Wamesema hayo baada ya kushiriki mazoezi hayo yanayofanyika kila siku za jumamosi kwa kuratibiwa na Kamanda wa Polisi mkoa huo, Kamishna msaidizi wa Polisi ACP Mahamoud Banga kwa kuwashirikisha askari na wananchi wa mkoa huo.
0 Comments