HABARI MPYA

6/recent/ticker-posts

Zawadi ya Ben Pol, Baraka Da Prince na Jux kwa Dodoma


March 3 2017 mastaa wa Bongofleva Juma Jux, Barakah Da Prince na Ben Pol wameandaa show kwa watu wao Dodoma ambayo itakuwa ni Live show mwanzo mwisho yaani bilakutumia CD na itafanyika Royal Village huku wakiwa wameipa jina la ‘333Experience‘ huku MC wakiwa ni Bdozen na MC Pilipili.


Sasa Good News ni kwamba mastaa hao wameamua kushow love kwa wasanii chipukizi kutoka Dodoma ambapo kazi ni mojatu wasanii watashindanisha kuimbi na yule atakayembuka mshindi atapewa shavu la kurekodiwa ngoma zake bure huku kazi yote ya usimamizi ikiwa kwao.
Yapo mengi wameyazungumza mbele ya waandishi wa habari Dodoma leo 

Post a Comment

0 Comments